Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri
mkuu, Majeshini etc.
Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force"
yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa.10% ya mishahara yote
nchini hulipwa kwa watumishi hewa.Serikali yapoteza Tshs Billioni 54 kwa
mwezi, sawa na zaidi ya Billioni 648 kwa mwaka kulipa mishahara ya
watumishi hewa.
0 comments:
Post a Comment