Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemwapisha Mkuu wa Wilaya mpya
wa Kinondoni, Ally Salum Hapi ambaye aliteuliwa na Rais Dkt. John Pombe
Magufuli hivi karibuni.
Katibu
Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akizungumza wakati
akielezea kuhusu hafla ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni,
Ally Salum Hapi (wa pili kushoto), jijini Dar es Salaam leo. Wa tatu ni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na wa nne ni Mkuu wa Wilaya
ya Ilala, Raymond Mushi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)Baadhi
ya waalikwa, wafanyakazi wa Manispaa za jijini la Dar es Salaam na
wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa
Kinondoni, Ally Salum Hapi jijini Dar es Salaam leo. Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam,
wakiwa katika hafla ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally
Salum Hapi jijini Dar es Salaam jana.Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza wakati wa
kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kulia),
jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kulia), akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando.Wakuu
wa Wilaya za Ilala, Raymond Mushi (kushoto) na wa Wilaya ya Temeke,
Sophia Mjema, wakiwa katika hafla hiyo ya kumwapisha Mkuu mpya wa Wilaya
ya Kinondoni, Ally Salum HapiKatibu
Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akielezea kuhusu
utaratibu wa kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum
Hapi (katikati), wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda.Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akiteta jambo na Mkuu
wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi katika hafla hiyo.Mkuu
wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akijiandaa
kuapa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwa
tayari kumwapisha.Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimwapisha Mkuu wa Wilaya mpya
wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), jijini Dar es Salaam.Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akisaini hati ya kiapo wakati
alipomwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi
(kushoto), jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mmbando.Mkuu
wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akisaini hati
ya kiapo chake, mara baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda (kulia), jijini Dar es Salaam.Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akionesha Katiba ya
Jamhuri ya Muungano (kushoto) na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambavyo alikuwa tayari kumkabidhi Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally
Salum Hapi (kushoto), mara baada ya kumwapisha leo jijini Dar es
Salaam.Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akimkabidhi Katiba ya
Jamhuri ya Muungano na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mara baada ya
kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto),
jijini Dar es Salaam. Mkuu
wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akiabidhiwa
maua na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala) wa Mkoa wa Dar es Salaam, Elly
Mcha. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando. Mkuu
wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akiabidhiwa
maua na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala) wa Mkoa wa Dar es Salaam, Elly
Mcha. Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akisoma salamu za Mkoa kwa Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi.Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akimkabidhi kadi yenye salamu za Mkoa Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi.
Mkuu
wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi, akizungumza mara baada ya
kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Baadhi ya wageni waliokuwepo katika hafla hiyo, wakisikiliza hotuba ya mkuu huyo wa wilaya
0 comments:
Post a Comment