NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

SSRA yatoa ufafanuzi kuhusu kima cha chini cha mafao ya wastaafu (Minimum Pension Benefits)





Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imepokea malalamiko mengi kutoka kwa wanachama na wadau mbalimbali wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii kuhusu kuwepo kwa tofauti ya kima cha chini cha malipo ya mafao ya wastaafu. Zaidi unaweza kusoma taarifa hiyo hapa chini.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment