TAKUKURU yaingia TFF sakata la kufungiwa viongozi na wachezaji ligi daraja la kwanza
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) sasa imenyoosha makucha yake michezoni kwa kuanza kuchunguza sakata la kufungiwa kwa viongozi na wachezaji wa timu 4 za ligi daraja la kwanza kwa tuhuma za rushwa.
0 comments:
Post a Comment