NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Baada ya Ali Kiba kusaini mkataba na Sony,Basata wampongeza kwa haya mambo manne



BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na kudai kuwa nidhamu na maadili pia yanachangia katika mafanikio

“Tunampongeza Msanii Ali Kiba kwa kusaini mkataba na Kampuni ya Kimataifa ya Sony Music. Nidhamu, maadili & Sanaa ya staha hulipa” waliandika BASATA
basata 3 basata 4
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment