NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

BELLE 9 ASIMULIA ALIVYOFANYA KAZI KIWANDA KIMOJA NA MAMA YAKE

 
Star wa Bongo Star Seach (BSS) 2015 Kayumba Juma aliwahi kuwa mfanyabiashara ndogo ndogo almaarufu kama “machinga”  akiuza mitumba katika Soko  la Mburahati Jijini Dar es Salaam na kukumbana na changamoto kadha wa kadha ikiwemo ya kuzushiwa wizi ndipo alipoamua kuingia kwenye ‘hussle’ ya muziki hadi BSS ilipomtambulisha rasmi.

Vile vile Star wa Bongo Fleva anayefanya vizuri kimataifa Diamond Patnumz amewahi kufanya kazi ya kupigisha simu kwenye vibanda, ameuza mitumba na maji sambamba na kufanya kazi viwandani kwa ujira mdogo wa shilingi 2000 kwa saa 8.


Sasa tuachane na hao, kwa taarifa tu ni kwamba Belle 9 kabla ya Sumu ya Penzi kubamba amewahi kulipwa ujira mdogo katika kazi alizowahi kufanya nje ya muziki. Leo mtembezi.com inataka umfahamu Belle 9 kabla ya ‘kuhit’ kwenye game ya Bongo Fleva amewahi kupitia ‘hussle’ zipi hadi kutusua?


Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment