itakuja tena Tanzania wimbo wetu na Diamond ukitoka – Ne-Yo (Audio)
Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ baada ya show ya Jembeka Festival Jumamosi iliyopita, Ne-Yo alisema wimbo huo utaachiwa hivi karibuni.
“Baada ya wimbo kutoka ni lazima nije tena kwasababu tutautumbuiza,” alisema muimbaji huyo wa Miss Independent. “I will definitely be back,” alisema.
Wawili hao waliutumbuiza wimbo huo pamoja kwenye tamasha hilo lililofanyika jijini Mwanza. Msikilize zaidi hapo chini.
0 comments:
Post a Comment