Ni Usiku
wa Mei 25 , 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili tofauti kutoka
Tanzania na Kenya unagusa headlines za burudani baada ya wasanii
wawili Baraka Da Prince na Prezzo kuingia studio na kuandaa single yao
mpya itakayotoka hivi karibuni.
Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.
.
.Msanii kutoka Nairobi Kenya, Prezzo akitayarisha single mpya anayofanya na Baraka De Prince katika studio za Fishcrab
.
.
.
.Pichani:Producer Sappy ndie amehusika kutayarisha single hiyo mpya ya Prezzo na Baraka De Prince
.
.Kushoto ni msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa studio na Baraka De Prince
.
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia
Facebook
,
Twitter na
Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment