NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Nokia wapania kuteka soko la Smartphones na simu zao mpya

Leo kampuni kubwa ya simu ya Nokia imetangaza rasmi kuanza kutengeneza smart phone za kisasa kutoka kwenye kampuni yao itakayotengeneza simu hizo ya Global HMD. Kampuni hii itawasaidia Nokia kuweza kutengeneza na kuuza simu za Android na tablets.

Kumbuka kuwa kampuni ya Microsoft ndio ina haki za kuuza na kutengeneza Nokia handset toka mwaka 2014, na kwa sasa inauza haki hizo kwa kampuni ya Foxconn’s FIH  kwa dola milioni $350 million
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment