NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu swali huku amelewa Bungeni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John P. Magufuli jana alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa. ==>Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo akijibu swali huku amelewa
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment