NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

WEMA Sepetu "Sipendi Watu Wanavyonitukana Mgumba Instagram..Saa Zingine Nashindwa Kuvulimia"

 
Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa zingine anashindwa kuvumilia.
 
Ameongeza na kusema pia hiyo ndo ilikuwa sababu moja wapo ya yeye kutangaza  sana kuwa anamimba kipindi kile kwani ilikuwa nafasi yake ya kuwa prove wrong watu wanaosema kuwa ni mgumba lakini mungu hakupenda iwe hivyo na mwisho mimba kuharibika....
 
Jamani Punguzeni Kidogo
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment