NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

West ham yaigonga man united 3-2


Nyota wa West Ham United, Winston Reid (katikati) akiruka juu Uwanja wa Upton Park kushangilia bao la ushindi wa 3-2 aliloifungia timu yake dakika ya 80 jana dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. 

Katika mchezo huo uliokwenda sambamba na sherehe za kuuga Uwanja wa Upton Park kwa kuhamia Uwanja wa Olimpiki msimu ujao, mabao mengine ya West Ham yalifungwa na Diafra Sakho dakika ya 10 na Antonio dakika ya 76 wakati ya Mashetani Wekundu yalifungwa na Anthony Martial dakika za 51 na 72
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment