NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Yanga ilivyopaka rangi ubingwa wao Sokoine Mbeya

Beki wa Mbeya City, Haruna Shamte akiondosha mpira kwenye hatari mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Yanga ilishinda 2-0
Beki wa Mbeya City, Tumba Luis Swedi akiudhibiti mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma jana
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akinyoosha mguu kuuzuia mpira unaopigwa Tumba Lui Swedi wa Mbeya City
Winga wa Yanga, Simon Msuva akitoa pasi mbele ya beki wa Mbeya City, Hassan Mwasapili
Donald Ngoma wa Yanga akipasua katikati ya wachezaji wa Mbeya City jana Uwanja wa Sokoine
Refa Jimmy Fanuel wa Shinyanga akizungumza na wachezaji wa timu hizo jana kuwaoa maelekezo ya maamuzi yake
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment