
Kama ulifikiri Harmonize anatania juu ya Wolper basi anza kubadili mawazo yako, ukiacha wikiend iliyopita ambapo Harmonize alimtambulisha stejini mama yake na mpenzi wake mpya Wolper Mtwara ambapo ni kwao na kina Harmonize leo kaweka picha WOLPER akichuma matembele hii hapa.



0 comments:
Post a Comment