NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Harmonize>Nilikuwa Sijuwi Umaarufu Una Mambo Mengi Kiasi Hikii Daaah….


Rapa Fid Q aliwahi kusema “Ustaa ni mzigo wa mwiba ukiubeba lazima utaumia” well hii sio siri kwa watu wengi maarufu ambao waliwahi kutamani kuishi kistaa na sasa wanajutia hali hio.
WCB staa Harmonize naye ameanza kujutia maisha ya ustaa kupitia ujumbe wake instagram kuhusu mategemeo ya maisha ya umaarufu ni tofauti na alivyowazia.
Harmonize aliandika hivi “Nilikuwa Sijuwi Kuwa Umaarufu Una Mambo Mengi Kiasi Hikii Daaah Sio Rahisi Kuyashinda Peke Yangu M/mungu Simama Nami Hadi Siku Yangu Ya Mwisho Umaarufu Isiwe Sababu Ya Kukukosea Na Kuwakosea Wazazi Wangu Pamoja Na Ndugu Rafiki Pia Nakuomba Unijalie Mwisho Mwema Mimi Na Nduguzangu Woooote Walio Bahatika Kusoma Hapa Tuseme Ameen 🙏🙏🙏
Post hii imepata zaidi ya comment 650.
harmonize 2
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment