NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Wasanii wa Floyd Mayweather wameanza kupewa darasa la muziki kutoka kwa Future na Bieber.



Rapa wawili ambao wako chini ya lebel ya Floyd Mayweather ‘TMT’ wameanza kupewa darasa la muziki kutoka kwa wakali kama Future, Bieber.

Floyd alianzisha lebel ya muziki wa rapa mwaka jana na kumsajili rapa Lil Jamez na Jay Bling na ameshaonekana nao kwenye jukwa la Hard Rock Live mjini Vegas.

“Floyd ni mtu wa muziki, anatuingiza studio na kutupeleka na ndege kutoka mji moja mpaka mwingine,” Jay Bling alisema

Floyd anampango wa kufanya kazi na wasanii kama Future, Game, The Weeknd, Flo Rida, Justin Bieber, DJ Khaled, Lil Wayne, Rick Ross.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment