Imekuja kama surprise kwa wengi na kama wasemavyo waswahili ‘penzi ni
kikohozi kulificha huliwezi’ ndege hao wawili mahabuba wamejimwayamwaya
hadharani kuoneshana jinsi wanavyopendana na mashallah, wamedhamiria
kweli!
Ni wikiendi iliyomalizika ndipo uwepo wa couple hiyo ulifahamika
lakini tofauti na nyingi ambazo huanza kwa tetesi, wawili hao hawakutaka
kungoja bali wao wenyewe kuufunulia ulimwengu hisia za mioyo yao.
Haweshi kupostiana na kumwagiana jumbe tamu tamu!
Tazama post zao hapo chini.
Wanataka kiki
ReplyDelete