NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Picha: Red Carpet ya ‘The Black Tie’ ya Wema Sepetu

Usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam mastaa wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali walivunja makabati ya nguo kwa kuvaa nguo kali ili kuonyeshana umwamba katika Red Carpet ya show ya ‘The Black Tie’ iliyoandaliwa na staa wa filamu, Wema Sepetu.
Mama Wema akihojiwa na Lilian Kamazima
Mama Wema akihojiwa na Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima
Show hiyo ambayo ilianza majira ya usiku, ilipambwa na mkali wa masauti, Christian Bella huku akisindikizwa na wasanii mbalimbali. Angalia picha za red Carpet.
IMG_9734
Steve Nyerere akiwa na wasanii wenzake

Esha Buheti akihojiwa
Esha Buheti akikaribishwa katika red carpet
Faiza akihojiwa na TV 1
Faiza Ally
Faiza akihojiwa na TV 1
Faiza Ally akiwa na shabiki wake
Linah akihojiwa
Linah akihojiwa
Linex
Linex
Esha Buheti
Esha Buheti
Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima
Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima
Utampenda Bi. Linah Sanga
Utampenda Bi. Linah Sanga

Steve Nyerere na wadau wake
IMG_9612
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment