Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki aliongoza
mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki
Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016.
Jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki imeongeza miezi mitatu zaidi kuweza
kusaini makubaliano ya kiuchumi kati ya Jumuiya hiyo na Jumuiya ya Ulaya
kuweza kupata muda zaidi wa kuyapitia tena.
Rais wa Tanzania John Magufuli amebainisha kuwa Jumuiya ya Afrika
Mashariki imeiomba EU kutoiadhibu Kenya ambao teyali wamesha saini
mkataba huo
Tanzania na Uganda zimekuwa zikipinga mkataba wa ushirikiano wa
kibiashara kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC)
Home / News
/ Viongozi wa Afrika Mashariki na Muungano wa Ulaya wajipa miezi mitatu kabla ya kusaini makubaliano
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment