Baadi ya wawezeshaji katika
maadhimisho ya siku ya utunzani mazingira duniani jana katika ukumbumbi Wa Freedom square uliyopo chuo kikuu cha SUA,
Mazimbu Morogoro
Baadi ya wawezeshaji katika
maadhimisho ya siku ya utunzani mazingira duniani jana katika ukumbumbi Wa Freedom square uliyopo chuo kikuu cha SUA,
Mazimbu Morogoro
Mmoja wa wakufunzi katika maadhimisho hayo aliyemaliza
katika chuo cha SUA Mazimbu fakati ya science mwaka 1993 akiwaelezea vijana
umuhimu wa kujitambua, jana katika ukumbi wa Freedom square chuoni hapo
Picha ya pamoja kati ya vijana wanafunzi wa chuo cha SUA
fakati ya science na wakufunzi,jana baada ya kuhitimisha semina ya maadhimisho
siku ya utunzaji mazingira duniani.
Muwakilishi wa Global peace foundation Tanzania, Kamara
Dickson akielezea jambo kuhusu nafasi ya vijana katika kuyatunza mazingira
mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) jana katika chuo cha SUA Mazimbu
mkoani Morogoro
0 comments:
Post a Comment