Mgombea Urais kupitia Chama cha ADC Mheshimiwa Hamad Rashid ametimiza haki yake ya msingi ya kupiga kura.
Akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari Wawi Kisiwani Pemba, Rashid amesema anauhakika wa kuibuka mshindi wa kiti cha Urais wa Zanzibar.
Amesema kama hatashinda Urais, basi atakuwa Makamu wa Rais

0 comments:
Post a Comment