NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Heri Muziki – Na Gode by Yemi Alade (Cover) – Audio 0


Msanii wa Bongo Flava nchini Tanzania Heri Muziki ameachia nyimbo ya ‘Na Gode’ (cover) ambayo ‘original’ yake iliimbwa na msanii wa Nigeria mwanadada, Yemi Alade.  Nyimbo hii ya Heri Muziki aliyoirudia imetengezwa na ‘Producer’ Zest. 


Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment