NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

KASEJA NJE YA KIKOSI SIMBA V/S MBEYA CITY TAIFA LEO

 
JUMA KASEJA KIPA MBEYA CITY

KIPA Juma Kaseja hatoichezea Mbeya city dhidi ya Simba leo Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baadaya kuongezewa muda zaidi wa kushughulikia mambo yake ya kifamilia.

Kocha wa Mbeya City, Kinnah Phiri amethibitisha kuwa kaseja hatokuwa sehemu ya wachezaji wake watakaocheza dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Phiri amesema ratiba ya mwanzo ilikuwa waungane na Kaseja Juzi Ijumaa asubuhi katika kambi waliyopiga ya muda mkoani Morogoro lakini amemuongezea kipa huyo muda zaidi wa kuwa karibu na Familia yake ili kushughulikia masuala kadhaa ya kifamilia ni imani yangu kuwa ataungana na kikosi mara tu atakaporejea Mbeya.

“Ni imani yangu ataungana na kikosi mara tu atakaporejea Mbeya kujiandaa na mchezo dhidi ya Stand United”. Alisema Phiri

Kaseja aliondoka Mbeya City baadaya mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Prisons baada ya mkewe kujifungua watoto mapa

Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment