Mbunge wa mbeya mjini kupitia chama cha
democrasia na maendeleo Chadema Joseph Mbilinyi kama anavyo fahamika Mr
II Sugu anataka kurudi katika ‘game’ ya muziki wa bongo fleva
Mbunge huyo ambaye sasa ameingia muhula mwingine bungeni mara baada ya kupata kura za kutosha uchguzi mkuu wa octaba 2015
kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka post ambayo inamuonesha anarudi katika ‘game’ la muziki baada ya kukaa nje kwa miaka mitano bila ya kutoa ngoma yoyote
amesema kuwa “I cant leave Hip Hop alone” kisha juu katika ‘cover’ anaonekana SUGU FT LIZZY ngoma hiyo amefanyia MJ record producer DAXO CHALI
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
RELATED POSTS
SUGU KUACHIA NGOMA MPYA “FREEDOM”
Reviewed by Newspointtz
on
14:28:00
Rating: 5
0 comments:
Post a Comment