Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona.
Mechi ya kwanza Arsenal walifungwa kwa magoli 2-0 kwenye uwanja wa Emirates na kesho watajaribu kugeuza matokeo kama wataweza ili kusonga mbele kwenye UEFA.
Hizi ni picha za kikosi cha Arsenal chini ya manager Wenger wakifanya mazoezi.
0 comments:
Post a Comment