Klabu ya soka ya Barcelona imepata
ushindi wa kishindo kwa kuichapa Deportivo La Coruna mabao 8-0.
Mshambuliji wa Luis Suarez akianza kufunga bao la kwanza dakika ya 11
kisha akaongeza mengine matatu katika dakika ya 24' 53' 64 .
Mabao
mengine ya timu hiyo yalifungwa na kiungo Ivan Ivan Rakitic, beki Marc
Bartra na nyota wa wawili wa timu hiyo lionel Messi na Neymer jr
wakifunga bao moja moja kila mmoja.
Barcelona wanaendelea kuongoza ligi wakiwa na alama 79 wakifuatiwa na Atletico Madridi wenye
alama 79 pia ila wakipishana kwa idadi ya magoli ya kufunga huku Real Madrid wakiwa nafasi ya tatu kwa alama 78.
0 comments:
Post a Comment