NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

BRENKING: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba afariki dunia









Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peoni
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment