Mtangazaji Masoud Kipanya Jumatano hii April 27 2016 atasikika tena kama
mfanya kazi wa CloudsFM atasikika kwa mara nyingine tena Masoud ambaye
alipata umaarufu sana kupitia vipindi mbalimbali vya CloudsFM toka
kitambo hicho.
CMG (Clouds Media Group) wamethibitisha hilo kupitia page ya Instagram
kwamba Mtangazaji Masoud Kipanya anarejea kufanya kazi na atasikika
kwenye show ileile ya POWER BREAKFAST akiungana na Barbara Hassan na
Fredwaa ikiwa ni baada ya Gerald Hando na PJ kumaliza mkataba wao na CMG
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment