NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Mh Temba awachana Hanscana ,Jokate(+Audio)

     

Hitmaker wa Fundi Mh Temba ameiambia mtembezi.com kuwa ameamua kufanya video yake ya wimbo wa Fundi na muongozaji Hanscana kwasababu ni muongozaji anayechipukia kwa kasi huku akiwa na connections kubwa za nchi za nje, hivyo anaamini kuwa Hanscana ndiye muongozaji bora kwa sasa.

Vilevile Mh. Temba amejibu swali lililoulizwa na wengi kuhusu sauti za kike zinazo sikika kwenye nyimbo hiyo na kueleza kuwa moja ya sauti katika nyimbo hiyo zimeingizwa na mrembo Jokate Mwegelo.

Akizungumzia ukaribu wake na Jokate Mh. Temba amesema kuwa Jokate ni rafiki yake wa karibu ndio maana imekuwa rahisi kufanya kazi nae, hivyo mashabiki wake watarajie mengi kutoka kwake.

Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment