Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi
na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Salum Maulid Salum kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd, Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Juma Malik Akili kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika
hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Mustafa Aboud Jumbe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Omar Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu
Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Mwatima Ameir Issa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu
Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Jamala Adam Taib kuwa Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd, Shomari Omar Shomari kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi,Mawasilianona Usafirisahaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar. Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment