Msanii
wa filamu nchini, Shamsa Ford hivi karibuni alifunguka kupitia mtandao
wa Instagram kuwa mahusiano na mastaa wa Bongo hayadumu kwa miezi mitatu
na amemuomba Mungu amuepushe mbali nayo.
Akiweka picha ya Beyonce na Jay Z, Shamsa alidai ni uhusiano wao tu ndiyo anaouelewa miongoni mwa mastaa.
Aliandika: Haya ndio mahusiano ninayoyakubali dunia nzima.unaweza kuona
mapenzi ,mafanikio na kazi katika nyuso zao….lakini mahusiano ya mastar
wetu wa hapa bongo yakidumu sana ni miezi 3..Mimi huwa naona mapenzi ya
mastar wa bongo ni kutafuta kick tu but si mahusiano ya kweli. …Mungu
niepushe mimi kuwa na mahusiano na star yoyote. Happy anniversary Mr and
Mrs JAZZ. ..”
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment