2 (17)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Kivuko cha Magogoni Eng. Charles wakati alipokikaga kivuko hicho.
3 (19)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akipanda kukagua mtambo wa kupima na kusafirisha mafuta Flow Meter uliojengwa Kigamboni eneo la Mji Mwema utakaoanza kutumika mwezi Mei.
4 (16)
Meneja wa mradi wa Ujenzi wa Flow Meter ya Kigamboni Eng. Mary Mhayaya akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipokagua maendeleo ya ujenzi huo.
5 (13)
Muonekano wa Flow Meter mpya ya Kigamboni katika hatua za mwisho za ujenzi wake.
6 (10)
Muonekano wa Daraja la Kigamboni mara baada ya ujenzi wake kukamilika.
7 (7)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akipata maelekezo kwa Mkurugenzi Msaidizi Barabara za Mijini Eng. Hussein Mativila (kushoto) alipokagua Daraja la Kigamboni.
8 (4)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na Msimamizi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eng. Karim Mattaka wakati alipokagua daraja hilo.
9 (3)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati) akijadiliana jambo na Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam Bw. Abel Muhanga (kulia), wakati alipokagua Bandari ya Malindi.