Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akilakiwa na Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali
Davies Mwamunyange alipowasili kushuhudia kufungwa kwa mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka majini (Amphibous
Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika
kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akilakiwa na Mnadhimu mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo
alipowasili kushuhudia kufungwa kwa mafunzo ya medani ya Kijeshi ya
kutua ardhini kutoka majini (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akilakiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja
Jenerali Gaudence Milanzi alipowasili kushuhudia kufungwa kwa mafunzo
ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka majini (Amphibous
Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika
kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akipeana mikono na Mkuu wa Majeshi
mstaafu, Jenerali Robert Mboma alipowasili kushuhudia kufungwa kwa
mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka majini (Amphibous
Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika
kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akipeana mikono naMkurugenzi wa Operesheni hiyo Meja
Jenerali James Mwakibolwa
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalumu za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheir akilakiwa na makamanda. Nyuma
yake ni Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Dkt. Abulhamid Yahya Mzee
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi
akiongea na Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Robert Mboma
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiwasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya
kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Davies Mwamunyange
alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini
kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini,
Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipowasili kufunga mafunzo
ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa
eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng.
John Kijazi alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua
ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Usalama wa Taifa Dkt Modestus Kipilimba alipowasili kufunga mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest
Mangu alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua
ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Magereza nchini Afande John Casmir Minja alipowasili kufunga mafunzo
ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa
eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Valentino Mlowola
alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka
ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious
Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika
kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kaimu Kamishna Mkuu wa Idara ya
Uhamiaji Mama Victoria Lembeli alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya
Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akipokea saluti toka kwa Katibu Mkuu Wizara
ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi alipowasili
kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya
maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini,
Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi alipowasili kufunga mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi
mstaafu, Jenerali Robert Mboma alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya
Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Katiba na Sheria Mama suzana Mlawi
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Majenerali wa JWTZ
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hizo Meja
Jenerali James Mwakibolwa
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuweka saini katika kitabu cha wageni
akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi
hilo
Wanadhimu wa zoezi
Sehemu ya wasimamizi wa zoezi hilo
Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hizo Meja Jenerali James Mwakibolwa akisoma taarifa
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi
hili

0 comments:
Post a Comment